Hes. 10:2 SUV

2 Jifanyie tarumbeta mbili za fedha; utazifanya za kazi ya ufuzi; nawe utazitumia kwa kuwaita mkutano wakutane, na kwa kusafiri kwao yale makambi.

Kusoma sura kamili Hes. 10

Mtazamo Hes. 10:2 katika mazingira