Hes. 10:33 SUV

33 Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.

Kusoma sura kamili Hes. 10

Mtazamo Hes. 10:33 katika mazingira