Hes. 10:5 SUV

5 Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha sana, marago yaliyoko upande wa mashariki yatasafiri. Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha ya pili, marago yaliyoko upande wa kusini watasafiri;

Kusoma sura kamili Hes. 10

Mtazamo Hes. 10:5 katika mazingira