Hes. 11:1 SUV

1 Kisha hao watu walikuwa kama wanung’unikao, wakinena maovu masikioni mwa BWANA; BWANA aliposikia hayo, hasira zake zikawaka; na moto wa BWANA ukawaka kati yao, ukateketeza katika mipaka ya mwisho wa marago.

Kusoma sura kamili Hes. 11

Mtazamo Hes. 11:1 katika mazingira