Hes. 12:10 SUV

10 Kisha hilo wingu likaondoka kutoka pale juu ya hema; na tazama, Miriamu akawa mwenye ukoma, mweupe kama theluji; Haruni akamwangalia Miriamu, na tazama, yu mwenye ukoma.

Kusoma sura kamili Hes. 12

Mtazamo Hes. 12:10 katika mazingira