Hes. 12:4 SUV

4 BWANA akanena ghafula na Musa, na Haruni na Miriamu, na kuwaambia, Tokeni nje ninyi watatu, mwende hemani mwa kukutania. Basi hao watatu wakatoka nje.

Kusoma sura kamili Hes. 12

Mtazamo Hes. 12:4 katika mazingira