6 Kisha akawaambia,Sikizeni basi maneno yangu;Akiwapo nabii kati yenu,Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono,Nitasema naye katika ndoto.
Kusoma sura kamili Hes. 12
Mtazamo Hes. 12:6 katika mazingira