Hes. 12:8 SUV

8 Kwake nitanena mdomo kwa mdomo,Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo;Na umbo la BWANA yeye ataliona.Mbona basi ninyi hamkuogopaKumnenea mtumishi wangu, huyo Musa?

Kusoma sura kamili Hes. 12

Mtazamo Hes. 12:8 katika mazingira