Hes. 13:3 SUV

3 Basi Musa akawatuma kutoka nyika ya Parani kama alivyoagizwa na BWANA; wote walikuwa ni watu walio vichwa vya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Hes. 13

Mtazamo Hes. 13:3 katika mazingira