Hes. 14:10 SUV

10 Lakini mkutano wote wakaamuru wapigwe kwa mawe. Ndipo utukufu wa BWANA ukaonekana katika hema ya kukutania, mbele ya wana wa Israeli wote.

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:10 katika mazingira