Hes. 14:40 SUV

40 Wakainuka na mapema asubuhi, wakakwea juu ya mlima hata kileleni, wakisema, Tazameni, sisi tupo hapa, nasi tutakwea kwenda mahali BWANA alipotuahidi; kwani tumefanya dhambi.

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:40 katika mazingira