Hes. 14:7 SUV

7 wakanena na mkutano wote wa wana wa Israeli wakasema, Nchi ile tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi njema mno ya ajabu.

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:7 katika mazingira