Hes. 16:42 SUV

42 Basi ilikuwa, hapo huo mkutano ulipokuwa umekutanika kinyume cha Musa, na kinyume cha Haruni, wakaangalia upande wa hema ya kukutania; na tazama, hilo wingu likaifunika hema, na utukufu wa BWANA ukaonekana.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:42 katika mazingira