Hes. 16:5 SUV

5 kisha akanena na Kora na mkutano wake wote, akawaambia, Asubuhi BWANA ataonyesha ni kina nani walio wake, kisha ni nani aliye mtakatifu, tena ni nani atakayemkaribisha kwake; maana, yeye atakayemchagua ndiye atakayemsongeza kwake.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:5 katika mazingira