Hes. 17:2 SUV

2 Nena na wana wa Israeli, kisha upokee kwao fimbo, fimbo moja kwa ajili ya nyumba ya kila baba, katika wakuu wao wote, kama nyumba za baba zao zilivyo, fimbo kumi na mbili; kisha andika jina la kila mtu katika fimbo yake.

Kusoma sura kamili Hes. 17

Mtazamo Hes. 17:2 katika mazingira