Hes. 17:5 SUV

5 Kisha itakuwa, mtu huyo nitakayemchagua, fimbo yake itachipuka; nami nitayakomesha kwangu manung’uniko ya wana wa Israeli, wanung’unikiayo juu yenu.

Kusoma sura kamili Hes. 17

Mtazamo Hes. 17:5 katika mazingira