Hes. 17:9 SUV

9 Kisha Musa akazileta nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake.

Kusoma sura kamili Hes. 17

Mtazamo Hes. 17:9 katika mazingira