Hes. 18:1 SUV

1 BWANA akamwambia Haruni, Wewe na wanao na nyumba ya baba zako pamoja nawe mtachukua uovu wa patakatifu; wewe na wanao pamoja nawe mtauchukua ukuhani wenu.

Kusoma sura kamili Hes. 18

Mtazamo Hes. 18:1 katika mazingira