Hes. 18:12 SUV

12 Yaliyo mazuri katika mafuta, na yaliyo mazuri ya mavuno ya zabibu, na ya mavuno ya nafaka, malimbuko yake watakayompa BWANA, amekupa wewe hayo.

Kusoma sura kamili Hes. 18

Mtazamo Hes. 18:12 katika mazingira