Hes. 18:16 SUV

16 Na hao watakaokombolewa katika wanyama hao, tangu aliyepata umri wa mwezi mmoja utamkomboa, kama utakavyohesabu kima chake, kwa fedha ya shekeli tano, kwa shekeli ya mahali patakatifu (nayo ni gera ishirini).

Kusoma sura kamili Hes. 18

Mtazamo Hes. 18:16 katika mazingira