Hes. 18:32 SUV

32 Nanyi hamtachukua dhambi kwa ajili yake, hapo mtakapokwisha kuinua humo hayo mema yake; lakini msivitie unajisi vile vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, ili msife.

Kusoma sura kamili Hes. 18

Mtazamo Hes. 18:32 katika mazingira