Hes. 18:4 SUV

4 Nao wataungwa nawe, na kuushika ulinzi wa hema ya kukutania, kwa ajili ya utumishi wote wa hema; na mgeni asiwakaribie ninyi.

Kusoma sura kamili Hes. 18

Mtazamo Hes. 18:4 katika mazingira