Hes. 19:2 SUV

2 Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyoagiza, akisema, Waambie wana wa Israeli wakuletee ng’ombe mke mwekundu asiye na kipaku, mkamilifu, ambaye hajatiwa nira bado;

Kusoma sura kamili Hes. 19

Mtazamo Hes. 19:2 katika mazingira