Hes. 19:20 SUV

20 Lakini mtu atakayekuwa najisi, naye hataki kujitakasa, mtu huyo atakatiliwa mbali katika mkutano, kwa sababu amepatia unajisi mahali patakatifu pa BWANA; hayo maji ya farakano hayakunyunyizwa juu yake; yeye yu najisi.

Kusoma sura kamili Hes. 19

Mtazamo Hes. 19:20 katika mazingira