Hes. 2:16 SUV

16 Wote waliohesabiwa katika marago ya Reubeni walikuwa mia na hamsini na moja elfu na mia nne na hamsini, kwa majeshi yao. Nao ndio watakaosafiri mahali pa pili.

Kusoma sura kamili Hes. 2

Mtazamo Hes. 2:16 katika mazingira