Hes. 2:34 SUV

34 Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyopanga penye beramu zao, na ndivyo walivyosafiri, kila mtu kwa jamaa zao, kwa nyumba za baba zao.

Kusoma sura kamili Hes. 2

Mtazamo Hes. 2:34 katika mazingira