9 Hao wote waliohesabiwa katika marago ya Yuda walikuwa mia na themanini na sita elfu na mia nne, kwa majeshi yao. Hao ndio watakaosafiri mbele.
Kusoma sura kamili Hes. 2
Mtazamo Hes. 2:9 katika mazingira