Hes. 20:1 SUV

1 Kisha wana wa Israeli, mkutano wote, wakaingia bara ya Sini, katika mwezi wa kwanza, watu wakakaa Kadeshi; Miriamu akafa huko, akazikwa huko.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:1 katika mazingira