Hes. 20:10 SUV

10 Musa na Haruni wakawakusanya kusanyiko mbele ya mwamba, akawaambia, Sikieni sasa, enyi waasi; je! Tuwatokezee maji katika mwamba huu?

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:10 katika mazingira