Hes. 20:16 SUV

16 tena tulipomlilia BWANA, akatusikiza sauti yetu, akamtuma malaika, na kututoa tutoke Misri; nasi tupo hapa Kadeshi, mji wa mpakani mwako mwa mwisho;

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:16 katika mazingira