Hes. 20:19 SUV

19 Wana wa Israeli wakamwambia, Tutakwea kwa njia kuu; tena kama tukinywa maji yako, mimi na wanyama wangu wa mifugo, ndipo nitakulipa thamani yake; nipe ruhusa nipite kwa miguu yangu wala sitaki neno lingine lo lote.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:19 katika mazingira