Hes. 20:24 SUV

24 Haruni atakusanywa awe pamoja na watu wake; kwa kuwa hataingia katika nchi niliyowapa wana wa Israeli, kwa sababu mliasi kinyume cha neno langu hapo penye maji ya Meriba.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:24 katika mazingira