Hes. 20:6 SUV

6 Musa na Haruni wakatoka pale palipokuwa mkutano, wakaenda hata mlangoni pa hema ya kukutania, wakaanguka kifudifudi; utukufu wa BWANA ukawatokea.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:6 katika mazingira