Hes. 20:8 SUV

8 Twaa ile fimbo, ukawakusanye mkutano, wewe na Haruni ndugu yako, ukauambie mwamba mbele ya macho yao utoe maji yake, nawe utawatokezea maji katika mwamba, na hivyo utawanywesha maji mkutano na wanyama wao.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:8 katika mazingira