Hes. 21:5 SUV

5 Watu wakamnung’unikia Mungu, na Musa, Mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri, ili tufe jangwani? Maana hapana chakula, wala hapana maji, na roho zetu zinakinai chakula hiki dhaifu.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:5 katika mazingira