Hes. 21:7 SUV

7 Watu wakamwendea Musa, wakasema, Tumefanya dhambi kwa sababu tumemnung’unikia Mungu, na wewe; utuombee kwa BWANA, atuondolee nyoka hawa. Basi Musa akawaombea watu.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:7 katika mazingira