Hes. 22:20 SUV

20 Mungu akamjia Balaamu usiku, akamwambia, Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita, enenda pamoja nao; lakini neno lile nitakalokuambia ndilo utakalolitenda, basi.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:20 katika mazingira