Hes. 22:23 SUV

23 Na yule punda akamwona malaika wa BWANA amesimama njiani, na upanga wake mkononi mwake amekwisha kuufuta; punda akageuka upande ili kuiacha njia, akaingia shambani. Balaamu akampiga punda ili kumrejeza njiani.

Kusoma sura kamili Hes. 22

Mtazamo Hes. 22:23 katika mazingira