7 Wazee wa Moabu, na wazee wa Midiani, wakaenda, wakichukua ujira wa uganga mikononi mwao; wakamfikilia Balaamu, wakamwambia maneno ya Balaki.
Kusoma sura kamili Hes. 22
Mtazamo Hes. 22:7 katika mazingira