Hes. 23:17 SUV

17 Akafika kwake, na tazama, amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, na wakuu wa Moabu pamoja naye. Balaki akamwambia, BWANA amenena nini?

Kusoma sura kamili Hes. 23

Mtazamo Hes. 23:17 katika mazingira