21 Hakutazama uovu katika Yakobo,Wala hakuona ukaidi katika Israeli.BWANA, Mungu wake, yu pamoja naye,Na sauti kuu ya mfalme i katikati yao.
Kusoma sura kamili Hes. 23
Mtazamo Hes. 23:21 katika mazingira