Hes. 23:3 SUV

3 Balaamu akamwambia Balaki, Simama karibu na sadaka yako, nami nitakwenda, labda BWANA atakuja kuonana nami; na lo lote atakalonionyesha nitakuambia. Akaenda hata mahali peupe juu ya kilima.

Kusoma sura kamili Hes. 23

Mtazamo Hes. 23:3 katika mazingira