Hes. 23:7 SUV

7 Akatunga mithali yake, akasema,Balaki amenileta kutoka Aramu,Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki,Njoo! Unilaanie Yakobo,Njoo! Unishutumie Israeli.

Kusoma sura kamili Hes. 23

Mtazamo Hes. 23:7 katika mazingira