Hes. 24:1 SUV

1 Basi Balaamu alipoona ya kuwa ilimpendeza BWANA kuwabariki Israeli, hakwenda, kama hapo kwanza, ili kutafuta uchawi, bali alielekeza uso wake jangwani.

Kusoma sura kamili Hes. 24

Mtazamo Hes. 24:1 katika mazingira