Hes. 26:38 SUV

38 Na wana wa Benyamini kwa jamaa zao; wa Bela, jamaa ya Wabela; na wa Ashbeli, jamaa ya Waashbeli; wa Ahiramu, jamaa ya Waahiramu;

Kusoma sura kamili Hes. 26

Mtazamo Hes. 26:38 katika mazingira