Hes. 26:57 SUV

57 Na hao waliohesabiwa katika Walawi kwa jamaa zao ni hawa; wa Gershoni, jamaa ya Wagershoni; na wa Kohathi, jamaa ya Wakohathi; na wa Merari, jamaa ya Wamerari.

Kusoma sura kamili Hes. 26

Mtazamo Hes. 26:57 katika mazingira