Hes. 27:11 SUV

11 Tena ikiwa babaye hana ndugu, utampa huyo aliye karibu naye katika jamaa zake huo urithi wake, naye atakuwa nao; na neno hili litakuwa ni amri ya hukumu kwa wana wa Israeli, kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Hes. 27

Mtazamo Hes. 27:11 katika mazingira