Hes. 27:3 SUV

3 Babaetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha BWANA katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume.

Kusoma sura kamili Hes. 27

Mtazamo Hes. 27:3 katika mazingira