Hes. 28:11 SUV

11 Tena katika mianzo ya miezi yenu mtamsongezea BWANA sadaka ya kuteketezwa; nayo ni ng’ombe waume wadogo wawili, na kondoo mume mmoja, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza, wakamilifu, saba;

Kusoma sura kamili Hes. 28

Mtazamo Hes. 28:11 katika mazingira