Hes. 28:13 SUV

13 na sehemu ya kumi moja ya unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga kwa kila mwana-kondoo; kuwa sadaka ya kuteketezwa ya harufu ya kupendeza, ni sadaka iliyosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto.

Kusoma sura kamili Hes. 28

Mtazamo Hes. 28:13 katika mazingira